Author: eve

July 27, 2017 eve No comments exist

INTRO
Ohhhh it’s gonna be alright x2

VERSE 1
Do you ever wonder
How the birds of the air servive ,they don’t reap,sow or work for nothing eeeee kila kitu sawa sawa…
So don’t worry everything is alright ooooyee
I wee usatye usachke (shona)
He knows you by name by name….(yeah)

CHORUS
Kwake Yesu mambo yote sawa (with Jesus its alright)
Sawa sawa (alright alright)
Naye Jesu zvakanaka mama eee (with Jesus its alright)
ni sawa sawa (its alright alright)
Kwake Yesu mambo yote sawa (with Jesus its alright)
Sawa sawa (alright alright)
Naye Jesu zvakanaka mama eee (with Jesus it is well)
ni sawa sawa (its alright alright) x2

VERSE 2
When I say sawa I don’t mean it’s bitter,sweeter is my life with Jesus ,
He makes all this soo beautiful in His perfect time yes He does
So don’t worry everything is alright
Saka usatye he knows you by name by name
Sawa

CHORUS
Kwake Yesu mambo yote sawa (with Jesus its alright)
Sawa sawa (alright alright)
Naye Jesu zvakanaka mama eee (with Jesus its alright)
ni sawa sawa (its alright alright)
Kwake Yesu mambo yote sawa (with Jesus its alright)
Sawa sawa (alright alright)
Naye Jesu zvakanaka mama eee (with Jesus it is well)
ni sawa sawa (its alright alright) x2

BRIDGE / INTERLUDE
Kana iya Jesu Apida na mauri (if you have Jesus in you)
Sawa
zvinhu zvako zvose zvsose zvchanaka (all will be well)
sawa
Na huyu yesu (with this Jesus)
Sawa
Akiwa ndani yako (inside you)
Sawa
Kila kitu sawa (everything will be alright)
Sawa
Sawa sawa sawa Sawa
Your family sawa Sawa
Your career sawa Sawa
Health yako sawa (your health)
Sawa
Ndani ya Yesu sawa (in Jesus its alright)
Sawa
Ndina Jesu sawa Sawa
With Jesus sawa Sawa Sawa sawa sawa Sawa
Everything na sawasawa Sawa
Everything na sawasawa
Uuuyeeeh sawa kila kitu Sawa sawa …eeeeeeiii.

April 4, 2017 eve No comments exist

Niongoze “Lead me”

Lyrics by Evelyn Wanjiru

Chorus

Niongoze bwana X3

popote niendapo

Lead me oh Lord to the place X3

Place where you want me to go...

Verse 1

Nahitaji nguvu zako Baba

Nahitaji nehema yako baba

Nishikilie mono nisipotee baba

siwezi siwezi kwenda bila wewe eeh eeh

Chorus

Niongoze bwana X3

popote niendapo

Verse 2

Niongoze kwa ukweli wako

Unifunze noia zako

hold my hand walk with me

Nakutegemea Baba kila siku

Chorus

Niongoze bwana X3

popote niendapo

Lead me oh Lord to the place X3

Place where you want me to go...

Bridge/Ending

mmmh you are my friend Jesus

I trust in you, i obey you mmh, Oh haleluyhah

He leadeth meX2

By his own hand He leadeth

His faithful follower i will be

(for by His hand He leadeth me) X3

Thank you Jesus , Asante Yesu

November 3, 2016 eve No comments exist

#Matendo
Lyrics by Evelyn Wanjiru
#Skiza code 7241662

Chorus:
Matendo yako yanatisha x2 ( Your deeds are awesome)
Matendo yako Baba yanatisha tisha Baba wee.(Your deeds are awesome Father)

Verse 1:
Nimesikia habari zako(I have heared more about you)
Nashuhudia kazi zako(Am witnessing your work)
Yote umetenda ni ishara kwamba wewe ni Mungu(all you have done it is a sign that you are God)

Chorus:
Matendo yako yanatisha x2 ( Your deeds are awesome)
Matendo yako Baba yanatisha tisha Baba wee.(Your deeds are awesome Father)

Verse2:
Majira yako ni kamili (your time and seasons are perfect)
Kazi yako inadumu(your work endures)
Hauchelewi Baba tunapo kuitaji (you are never late Father whenever we need you)
Wewe upo wakati wote(you are ever present)

Chorus:
Matendo yako yanatisha x2 ( Your deeds are awesome)
Matendo yako Baba yanatisha tisha Baba wee.(Your deeds are awesome Father)

Bridge:

Nasema ukisema ndiyo(I say yes when You say yes)
Hakuna wa kupinga(No one can say no)
Ndio na amina oh Jehova we Baba wee(Yes Amen Jehovah my Father)

Chorus:
Matendo yako yanatisha x2 ( Your deeds are awesome)
Matendo yako Baba yanatisha tisha Baba wee.(Your deeds are awesome Father)

Outro:
EEH EEH EEH

March 1, 2016 eve 5 comments

Our God is able

Do you feel sometimes as if God is far a way from you.......well this new month don't lose hope He says call upon me and I will answer..... I have purposed to pray with you.......our God is able...#NIKUFAHAMU

 
February 25, 2016 eve No comments exist

Mungu Mkuu Lyrics by Evelyn Wanjiru

(Sung in Swahili)

Chorus:
Zaidi ya yote (Above it all)
Utabaki kuwa Mungu mkuu (You’ll remain Almighty God)
Alfa na Omega (Alpha and Omega)
Hubadiliki kamwe (You the One that never changes)

Nikitazama nyuma na mbele (Before me and behind me)
Naona ukuu wako (I see your greatness)
Kaskazini, kusini pia (From the north and to the south)
naona ukuu wako (I see your greatness)
Magharibi nako mashariki pia (From the west, to the east)
Naona ukuu wako (I see your greatness)

(Chorus:)

Hakuna mkamilifu katika wanadamu (No one among me is more perfect/complete)
Zaidi ya ewe Mungu wangu (Than You, oh my God)
Kila goti lipigwe, kila ulimi ukiri (Let every knee bow, and every tongue to confess)
Kuwa wewe ni Mungu pekee (That You are God alone)

(Chorus:)

Umenipigania vita vikali (You fought great battles for me)
Ambavyo mimi singeweza pekee yangu (That I could not have fought alone)
Maadui waliniandama (My enemies followed me)
Lakini ukawatawanya kwa njia saba (But You scattered them seven ways)
Usifiwe, uabudiwe (Be praised, be worshiped)

Bridge:
Unabaki kuwa (Mungu tu) (You remain – the only God)

February 25, 2016 eve No comments exist

NIKUFAHAMU LYRICS by Evelyn Wanjiru.

''Nikufahamu zaidi Bwana,
Nikujue zaidi Yesu,
Nikufahamu zaidi Yahwe,
Nikuishie milele Bwana

-Nataka Nitembee na wewe wakati wote,
Nitembee kwa Nuru yako Baba,
Nishirikiane na wewe kwa kila jambo,
Ongoza hatua zangu ewe Baba,
Ongoza hatua hatua hatua zangu

Wewe ni Mume wa Wajane
Baba wa Yatima,
mfariji wa waliofiwa,
Mtetezi wa wanyonge,
Huwaponya waliovunjwa mioyo mioyo,
Nakuziganga Jeraha zao,baba
Hao wote tegemeo lao ni wewe baba,
Ndipo wanaseeeeema

Nikufahamu zaidi Bwana,
Nikujue zaidi Yesu,
Nikufahamu zaidi Yahwe
Nikuishie milele Bwana...
Nikufahamu
Kama Musa nionyeshe njia zako
Nikujue
Sio matendo pekee
Nikae miguuni pako
Nikufahamu
Nikujue....'''