Mungu Mkuu Lyrics by Evelyn Wanjiru

Mungu Mkuu Lyrics by Evelyn Wanjiru (Sung in Swahili) Chorus: Zaidi ya yote (Above it all) Utabaki kuwa Mungu mkuu (You’ll remain Almighty God) Alfa na Omega (Alpha and Omega) Hubadiliki kamwe (You the One that never changes) Nikitazama nyuma na mbele (Before me and behind me) Naona ukuu wako (I see your greatness) Kaskazini, […]

Nikufahamu Lyrics by Evelyn Wanjiru

NIKUFAHAMU LYRICS by Evelyn Wanjiru. ”Nikufahamu zaidi Bwana,Nikujue zaidi Yesu,Nikufahamu zaidi Yahwe,Nikuishie milele Bwana -Nataka Nitembee na wewe wakati wote,Nitembee kwa Nuru yako Baba,Nishirikiane na wewe kwa kila jambo,Ongoza hatua zangu ewe Baba,Ongoza hatua hatua hatua zangu Wewe ni Mume wa WajaneBaba wa Yatima,mfariji wa waliofiwa,Mtetezi wa wanyonge,Huwaponya waliovunjwa mioyo mioyo,Nakuziganga Jeraha zao,babaHao wote tegemeo lao […]